S2kizzy Anasema Ibraah Hana Nidhamu
Mtayarishaji Maarufu wa Muziki Tanzania, S2kizzy amesema wasanii wa sasa wa Bongo Flava hawana nidhamu. S2kizzy ameyasema hayo kwenye mahojiano na kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM alipo ulizwa kuhusu moja ya Post alizoweka kwenye ukurasa wake wa Instagram ikidhaniwa kuwa imemlenga zaidi msanii ibraah ambaye hivi karibuni alionekana kuongea kwa dharau na kusema hawogopi wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz na wengine. Sikiliza S2kizzy alivyosema.