Ilikuwaje Ibraah Alipokutana na Diamond Platnumz
S01:E01

Ilikuwaje Ibraah Alipokutana na Diamond Platnumz

Episode description

Mahojiano kati ya Msanii kutoka Label ya Konde Gang Ibraah akielezea jinsi alivyo kutana na wasanii kutoka Label ya Wasafi akiwa moja na Mbosso, D Voice moja na Diamond Platnumz Mwenye.