Mfahamu "Zuchu" Msanii Kutoka WCB Wasafi
S01:E03

Mfahamu "Zuchu" Msanii Kutoka WCB Wasafi

Episode description

Zuchu ni mmoja wa wasanii wakubwa wakike kutoka Tanzania,Hadi sasa Zuchu anawakilisha Label ya WCB Wasafi ambayo inamilikiwa na mwanamuziki na mfanyabiashara Diamond Platnumz. Inawezekana unamfahamu Zuchu kwa kusikiliza nyimbo zake lakini yapo mambo mengi ya kufahamu kuhusu msanii huyu. Sikiliza episode hii ya Tatu kumfahamu msanii Zuchu.